top of page
IMG_0288.HEIC

KUHUSU SISI

WILD AFRICA LOGISTICS LIMITED ni Kampuni inayomilikiwa na watu binafsi yenye ujuzi wa usafirishaji mizigo.

Makao Makuu yetu yapo Dar Es Salaam, Tanzania. Kampuni yetu inahakikisha huduma bora za usafirishaji mizigo kwenda na kutoka Nchi zote jirani.

Kwa kuzingatia huduma zinazoendana na mahitaji maalum ya wateja, viwango vya ushindani na kuridhika kwa wateja, timu yetu yenye uzoefu imejitolea kuwapa wateja wetu huduma bora zaidi ili kuhakikisha tunakidhi mahitaji ya wateja wetu kwa kiwango kikubwa, tunajivunia kutoa huduma bora zaidi kwa wateja katika sekta ya usafirishaji.

WILD AFRICA LOGISTICS LIMITED

P.O. BOX 4929 DAR ES SALAAM, TANZANIA

©2025 by WILD AFRICA LOGISTICS LIMITED

Black on White_edited_edited.png

Follow Us

  • Instagram
bottom of page